Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - ABNA - Leo hii (18 -04- 2025), Sala ya Ijumaa imeswaliwa katika Masjid ya Jamiat Al-Mustafa (s), Dar-es-Salam - Tanzania.
18 Aprili 2025 - 23:59
News ID: 1550314
Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Sayyid Mansour Al-Musawi.
Mada: Iligusia masuala mbalimbali na muhimu ya Ulimwengu wa Kiislamu, sambamba na kuangazia Mazungumzo ya Nyuklia baina ya Iran na Marekani yaliyoanza Nchini Oman na yanayotarajiwa kuendelea Nchini Italy.
Your Comment